Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

Mchengerwa anaupambania mkoa wa Pwani haswa. Kibaha imekuwa Manispaa, Rufiji Mji na sasa Bagamoyo mji.
Kuna miji kama Tukuyu, Karatu zina watu, uchumi na shughuli za kibinadamu kuliko hiyo miji lkn bado hazijapewa hiyo hadhi.
Bagamoyo ndio Dar ya zamani kama huna taarifa
 
Morogoro kubwa sana wakiigawa sio mbaya sana.
Naijua vizuri sana ila wakiugawa itakuwa washaharibu sifa za Morogoro. Morogoro ndio mkoa pekee ambao hakuna zao hata moja lisilolimwa katika mkoa huo ambayo yanalumwa katika mikoa mingine.
 
Mchengerwa anaupambania mkoa wa Pwani haswa. Kibaha imekuwa Manispaa, Rufiji Mji na sasa Bagamoyo mji.
Kuna miji kama Tukuyu, Karatu zina watu, uchumi na shughuli za kibinadamu kuliko hiyo miji lkn bado hazijapewa hiyo hadhi.
Mkuranga punde itakuwa manispaa chini ya maono ya mkwe mtu 🥱
 
Back
Top Bottom