Bagamoyo ndio Dar ya zamani kama huna taarifaMchengerwa anaupambania mkoa wa Pwani haswa. Kibaha imekuwa Manispaa, Rufiji Mji na sasa Bagamoyo mji.
Kuna miji kama Tukuyu, Karatu zina watu, uchumi na shughuli za kibinadamu kuliko hiyo miji lkn bado hazijapewa hiyo hadhi.
Mimi mambo ya kugawa maeneo ya kiutawala siyakubali kabisaHo
Ni jambo jema.Bado kuugawa mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno na mikoa mingine pia
Morogoro kubwa sana wakiigawa sio mbaya sana.Mimi mambo ya kugawa maeneo ya kiutawala siyakubali kabisa
Naijua vizuri sana ila wakiugawa itakuwa washaharibu sifa za Morogoro. Morogoro ndio mkoa pekee ambao hakuna zao hata moja lisilolimwa katika mkoa huo ambayo yanalumwa katika mikoa mingine.Morogoro kubwa sana wakiigawa sio mbaya sana.
Akili yako ndiyo ina maajabu, vijana wa sk hz hamna akili ht za kuazimaBunge limevunjwa cha ajabu bado kuna mawaziri,haya ni makubwa
Mkuranga punde itakuwa manispaa chini ya maono ya mkwe mtu 🥱Mchengerwa anaupambania mkoa wa Pwani haswa. Kibaha imekuwa Manispaa, Rufiji Mji na sasa Bagamoyo mji.
Kuna miji kama Tukuyu, Karatu zina watu, uchumi na shughuli za kibinadamu kuliko hiyo miji lkn bado hazijapewa hiyo hadhi.