GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wengine wanasema ni Novena effect na wengine wanasema ni Kurjuan inamtafuna.
 
Kashachoka na hawezi kuendelea tena...
Anaumwa.
 
Duu Sasa chuki imezidi hii si Tanzania niliyoijua!!
 
Manguli wa uchawa akina chiembe, johnthebaptist, choicevariable, tiatiaah, na genge lao wanakuja kulitolea ufafanuzi jambo hilo!!
 
Kama ndio hoja zenu hizi basi October naenda kutick
 
Mkuu ogopa saana watu wakiumizwa na wewe alafu hawana pa kusemea maumivu yale huwa yanafika kwa muumba bila chenga na majibu yake huwa ni ya haraka sana
 
Mdomo koma koma mdomo sina Mwanasheria nisije nikafungiwa akaunti nisiiguse tena Jf mdomo koma kaa kimya pita kimyakimya usitie neno
🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuu, hata mimi najitahid kuukomesha mdomo wangu,maana tunapoelekea tutajiponza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…