GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtu huna ubongo unajidai na wewe kutoa kichwani! Haki nimecheka kama mazuri! Anajua matrekta milioni 10 huyu? Yaani kila watu 6 trekta. Nyumbani kwangu tutakuwa nayo mawili na nusu!
 
anapelekewa vimemo kwasababu uwezo wa kuzungumza mwenyewe hana huyo
Alitoka kwao na kapu la NAZI uongozi kaja kuukuta huku bara
hata shule yake haijulikani alisoma wapi? alianzia api na kumalizia wapi?
hivi naye ni dr?
Nilitamani kumuona anaunguruma bila kusoma..!!
Wanawake huwa tunaflow maneno yanakuja yenyewe, kuna vitu km vya takwimu mpk asome..!!
 
Baada ya kuona hawezi kushindana na lissu aliamua kutengeneza wapinzani wa kuchonga akina CHAUMMA
Mbona unadanganya watu kitoto sio CHADEMA ndio wameweka mpira kwapani?????? Nchi ngumu sana kuna watu kuelewa jambo dogo ni shidaaa CCM ndio mana imewaza kuwapigia kura shubamit!!!
 
Hizo cha mtoto,SSH leo kapaliwa na upepo.Hapo wangekuwepo wapinzani huu mtanange ungenoga sana,muda siyo mrefu ataenda check up.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Alipojiita Chura kiziwi mimi nilimwelewa, maana ukimya wake ulimsaidia kuficha ujinga. Sasa ona ananavojidhalilisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…