Asitumie vimemo, asome kabisa neno kwa neno. Hiyo akili ya kutumia vimemo hana! Na bahati yake wamemfungia Lissu haki ya nani alikuwa anavua gagulo jukwaani!Mama anasoma vi memo ndo tatizo kubwa nililoliona kwenye hotuba zake..!!
Hapa ndipo unahisi umeitetea CCM?Hapo ndio mnahisi mmefanya siasa za kupambana na CCM eti!? Haya pambaneni!!!!
Sawa mama DR SAMUYA"Watakuja kulaani inadi
Samahani siyo kulani inadi
Kunadi ilani"
Mwisho wa nukuu
Tutaona mengi sanaSawa mama DR SAMUYA
Mwisho wa kunukuu
Nkamu ss hivi ukiishiwa nauli usiwaze vaa shati la kijani panda bus, ukifika unakotaka shuka kaendelee na majukumu yako..!!Tutaona mengi sana
Hapa yamepita mabasi zaidi ya 10 mapya
Naona sijui yametoka kusoma watu huko Momba.
Kazini kwa Mama Kuna kazi.
CCM kama neno la Mungu inajisimamia yenyewe. Haihitaji kutetewa.Hapa ndipo unahisi umeitetea CCM?
Ahahahahaha! Kwani unafikiri ukiondoka anabaki ndani? Huwa tunakutana sehemu. We mwambie akulete utanikuta! Ahahahahaha!!Mke wangu kumbe shosti yako?
Kesho usiondoke kabla sijarudi jicheleweshe nikuone kisura okay?
Tuombe Mungu iwe kweli kapaliwa, isijekuwa kitu kingine serious.Hizo cha mtoto,SSH leo kapaliwa na upepo.Hapo wangekuwepo wapinzani huu mtanange ungenoga sana,muda siyo mrefu ataenda check up.
Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
Chezea nguvu ya Novena... Na bado!Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
Apaliwe apae aka-rest in peace kabisa!Tuombe Mungu iwe kweli kapaliwa, isijekuwa kitu kingine serious.
ππππππππππππ½ππ½ππ½ππ½ππ½Nkamu ss hivi ukiishiwa nauli usiwaze vaa shati la kijani panda bus, ukifika unakotaka shuka kaendelee na majukumu yako..!!
Mama ametufikia kazi na utu πΉ
Chanel ya vituko huko aheraπ€£π€£Trekta 10M manake kila watanzania 6 watamiliki trekta lao nafikiri itabidi tuagize madereva kutoka nchi jirani.
Uchawi wa kulogewa kibyongo, busha
Ukifuatilia kwa karibu haya mambo kuna mahali inafika unabaki na mshangao Mtu anaanza kuugua from no where..!anajikunja kama ana kibyongo au kabeba kitu kizito hasa au anatembea utadhani ana busha na kuna wakati amevimba kabisa sehemu husika Kwa usomi wa kimagharibi na kushika dini za kuletewa...www.jamiiforums.com
Mdomo mdomo mdomo nimekuita mara 3 usije ukaniponza akaunti yangu ikapigwa komeo
Sitaki kusema chochote nisije nikafunguwa akaunti yangu hii bila sababuOctoba wanabonyeza kizenji