James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Mbona Magufuli walikuwa wanamuita rais wetu mpendwa ila kumuita mama yetu mpendwa imekuwa nongwa!Sema mama yako mpendwa inatosha tu.
Kiukweli amefanya la maana Sana, sukuma gang kwisha habari yaooNimefurahishwa sana na kitendo cha mama yetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine. Bibafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida. Bilashaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Hata Mama yetu mpendwa alichaguliwa na wananchi acha NongwaTofautisha sentensi zako " Raisi wetu Magufuli(RIP)" na "mama yako",hata hivyo Magufuli(JPM) alichaguliwa na wananchi wote(80%plus).
Bro nisamehe lakini kuna vitu vimeashiria kuwa ubongo wako unahitaji msaada wa chakula chake.Nimefurahishwa sana na kitendo cha mama yetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.
Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Bilashaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Cha kwanza unajua ni kitamu sana hakitoshi ngoja aombe cha pili[emoji23][emoji23][emoji23]Mama kanogewa anataka cha pili tena... ila ni kawaida yao wanawake hawaridhiki.
Mbona wapinzani hawaruhusiwi hata mikutano ya ndani wakati Samia yeye kashaanza kampeni?!!!Nimefurahishwa sana na kitendo cha mama yetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.
Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Bilashaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Angalizo tu ni kuwa gonjwa la UVIKO 19 limekuja na tishio jipya la wimbi la nne, yaani "Mu variant". Ni vyema kuwa na matamanio ya uongozi kwa siku zijazo, lakini ni vyema pia majaliwa yakawekwa mikononi mwa Mola.Nimefurahishwa sana na kitendo cha mama yetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.
Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Bilashaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Hata mwenyewe amesema hajachaguliwa Bali amefurahia kudra za Mwenyezi Mungu zilizomuwezesha kuwa rais .Hata Mama yetu mpendwa alichaguliwa na wananchi acha Nongwa
Labda kukosa sokoIlikuwaje hadi akaolewa mke wa nne ?
Ana tabia ya ukicheche ?Labda kukosa soko
Hapo sina ithibitisho...hivi kelele kuwa msoga ana....ni za kweli?Ana tabia ya ukicheche ?
JK amemhakikishia atampigania apitishwe bila kupingwaBro nisamehe lakini kuna vitu vimeashiria kuwa ubongo wako unahitaji msaada wa chakula chake.
1. Kila Mtanzania ana haki kuutaka urais hii ni HAKI kuwaita wana uchu unakosea.
2. 2025 iko wazi kwa wana ccm na upinzani...mama Hangaya hana ile amalizie 10 ya ccm kwasababu anamalizia awamu ya 5, na yeye amekiri ni rais wa katiba, hivyo atahitaji kupitia mchakato wa chama chake...je atashinda ccm?
Mnampa moyo lakini safari ni ngumu zaidi ya kudra iliyomdondokea
Mmekosa vya kujadili, kwani kuna asiyenanihiii dunia hii?Hapo sina ithibitisho...hivi kelele kuwa msoga ana....ni za kweli?