Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi yupo pale kwa ajili ya CHADEMA na si kwa maslahi ya Mtanzania mpenda Uhuru na maendeleo?Jitahidi kutumia huto tu-akili tuchache ulizobakiwa nazo!ππππHakuna lolote! Mama yuko njia sahihi kwa agenda alizojiwekea.
Kawafanyia CHADEMA mengi kwa muda mchache mkaanza dharau na matusi...
Yaani South Africa wanamtetea mwizi kwa kufanya wizi mkubwa zaidi!.Hizo ni fikra zako na mtazamo wako South Africa wana katiba bora kabisa cha ajabu mtu aliyefanya ufisadi anatetewa na wafuasi wake katiba siyo muarubaini, Kenya pia kuja katiba mpya lakini ufisadi kama kawaida.
Duh you have gone too far just to prove what you believe in.Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Mlitegemea mabadiliko makubwa ya kiuchumi na siasa chini ya ccm tena inayoongozwa na Samia?Nimekuja na hii mada kwa makusudi mawili, moja kuwapa angalizo watanzania wenzangu na pili kujiandaa kwa mengi na makubwa yatakayofuata hapa Tanzania...
Mbinu zile zile za Meko zitatumika mkuu, 2025 hakuna jipya.Uchaguzi wa 2025, ndiyo utapima uwezo wake wa uongozi
Astaghifirullah!ππππHaving a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Huwezi kuchagua jirani yako kwa maana ya nchi zinazokuzunguka ndio jiografia ya dunia ilivyo.Ukishaona Rais fulani wa Afrika marafiki zake na nchi wahisani wake wakuu ni Burundi na Zimbabwe jua kuwa hamna Rais humo.
View attachment 1857880
No wahuni wanampa ushauri wa kumpeleka chaka, uku nyuma wakiwa na ajenda wazijuazo waoUnasingiziaje wahuni wakat ye ndo overall commanding officer
Nini hiki aisee!?Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Maria Sarungi anasema "TutaelewanaTu"
Mabavu yapi wewe kamnda??Pumbavu mkubwa, kudai katiba kwa mabavu ndio suluhu?
Hivi unawajua wanaodai uhuru/katiba kwa nguvu ?!. Omba yasije Tanzania yetu hii.Pumbavu mkubwa, kudai katiba kwa mabavu ndio suluhu?
Afadhali yeye jina lake na ukoo wake linafahamika.Weye nani anakujua zaidi ya ulipokopa unga dukani?πππππYEYE NI NANI KWENYE TAIFA HII
Mjazeni upepo tu, mwisho wake mwaujuaHakuna lolote! Mama yuko njia sahihi kwa agenda alizojiwekea.
Kawafanyia CHADEMA mengi kwa muda mchache mkaanza dharau na matusi.
Tukawaonya ya kuwa mtafanya mama akaze kamba na wahanga mtakuwa nyie!
Mama endelea kuupigia mwingi. HAKI, NIDHAMU, NA WAJIBU!
Kazi Iendelee!
Kwahiyo sisi ni wajinga kiasi ambacho hatuwezi kutengeneza katiba yetu bora itakayorekebisha mapungufu uliyoyaona kwenye hizo nchi.au hujui maana ya katiba?Hizo ni fikra zako na mtazamo wako South Africa wana katiba bora kabisa cha ajabu mtu aliyefanya ufisadi anatetewa na wafuasi wake katiba siyo muarubaini, Kenya pia kuja katiba mpya lakini ufisadi kama kawaida.