Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hizi gharama alizoleta na anaona poa tuu kaja na ongezeko la mafuta bila sababu za msingi wanataka kuja na tulipie kadi za simu...kazi ipo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wanataka kwa maslahi gani hayo?.maana inaonekana hata hujui ni kwanini kuna katiba kwenye nchi.Kenya kuna Katiba mpya vipi hamna ufisadi na watu wana maisha mazuri?
Unauliza South Africa kuna nini?
Chadema wanataka katiba kwa maslahi yao wao siyo wananchi.
Watu mlikimbilia kumsifu eti anaupiga mwingi, sasa hivi anafanyaje, anapiga penalti?[emoji23] Na bado.
Hii ndio comment mzee wa dislike kabaadili reactionNavyojua mimi watanzania ni vinyonga hata akituongoza malaika....watalalamika tu
kwa katiba hii inayompa rais aliyepo madarakani mamlaka ya kumteua mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, unadhani atakosa urais 2025.Uchaguzi wa 2025, ndiyo utapima uwezo wake wa uongozi
Huna aikili hata kidogo. Hivi kupanda gharama za mafuta na tozo za miamala zinawathiri chadema peke yao? Nina wasiwasi na Mambo mawili juu yako. Either unaishi kwa wazazi wako (hujitegemei) au wewe ni mtu pori unategeme mizizi na matundaHakuna lolote! Mama yuko njia sahihi kwa agenda alizojiwekea.
Kawafanyia CHADEMA mengi kwa muda mchache mkaanza dharau na matusi.
Tukawaonya ya kuwa mtafanya mama akaze kamba na wahanga mtakuwa nyie!
Mama endelea kuupigia mwingi. HAKI, NIDHAMU, NA WAJIBU!
Kazi Iendelee!
Ni Maria Sarungi mkuu.Ndio nani huyo?
Kwa hiyo wewe,kila kitu hutaki,utaelewa tu,vinginevyo niseme unadeka.Kwa hiyo hupendi Mimi nikaujua mtazamo wako sio,basi baki na mtazamo wako na Mimi nitabakia na mtazamo wangu.
Siamini maneno yako!Tuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Porojo tupu, siku hizi hampigi vigelegele tena. Mwacheni mama afanye kazi, nyie endeleeni kujipatia fursa kwa hayo ma operation yenu yasiyo kichwa wala miguu.Nimekuja na hii mada kwa makusudi mawili, moja kuwapa angalizo watanzania wenzangu na pili kujiandaa kwa mengi na makubwa yatakayofuata hapa Tanzania.
Kwa sasa sio siri tena, matazamio ya mabadiliko makubwa yenye tija kwenye uchumi na siasa hapa Tanzania chini ya utawala wa mama Samia yameyuka ghafla na kwa haraka sana. Tayari mama Samia amepoteza uungwaji mkono kutoka kwenye makundi makubwa ya kijamii na kisiasa. Matumaini hayapo tena.
Wataalamu wa siasa wanasema siasa ni agenda, na mwanasiasa ukipoteza agenda inayokubeba maana yake umepoteza mwelekeo. Wakati mama Samia Suluhu anaingia madarakani, agenda nne muhimu (Haki za binadamu, Uhuru wa kujieleza, Maridhiano ya kisiasa na Uchumi binafsi) zilikuwa mkononi mwake na alionekana kuwa na fikra chanya za kuzitumia vyema katika safari yake ya kisiasa, bahati mbaya sana kwa sasa karibu agenda zote zimemponyoka ghafla kutoka mikononi mwake, hana tena pa kushika. Rangi halisi ya utawala wa mama Samia tumeweza kuijua sasa, ni utawala wa ovyo ovyo, hauna kipya wala chema cha maana sana cha tofauti na utawala uliopita wa Magufuli.
Kupanda kwa nishati (mafuta ya petrol na diesel) na miamala ya simu kulikofanywa kimakusudi na serikali ya mama Samia Suluhu kumeua matumaini yote ya vyuma kuachia. Maisha ya msoto yameongezeka zaidi kwa watanzania kuliko kipindi cha Magufuli na wakati huo huo ufanisi wa utendaji kwa watumishi wa umma umeporomoka. Mambo ni ovyo ovyo.
Kupigwa kumbo kwa mchakato wa katiba mpya (ambao upo kisheria) na kuzuiwa kwa shughuli za siasa kwa vyama vya upinzani (ambapo kupo kikatiba) ni kosa kubwa zaidi lililofanywa na utawala wa mama Samia Suluhu. Hakuna namna ataweza kupambana kinguvu kupingana na harakati za wanasiasa wa upinzani na wanaharakati, mama huenda akapelekwa mchaka mchaka mpaka ajute.
Mama Samia kwa sasa anajaribu kuiga mbinu mbovu na mbaya za kisiasa na kiuchumi za utawala wa Magufuli wakati yeye sio Magufuli na hawezi kuwa kama Magufuli. Njia aliyoichagua mama Samia ni njia mbovu, mbaya na yenye mwisho mbaya. Poor and dead ended path, kwa lugha rahisi hawezi kutoboa.
Waswahili wanasema mkataa pema pabaya panamwita!
Kwahiyo ushauri wako ni kwamba mama asimame???SSH rais, anatakiwa kusimama, vinginevyo Kuna wahuni wanamwaribia pakubwa
Thou ni ccm hawezi leta mabadiliko wote ni wale waleSio wewe mwenyewe ndio umepoteza muelekeo kweli😂😂😂😂
Ameshachemka mapema atufaiKwahiyo ushauri wako ni kwamba mama asimame???