Rais Samia amepoteza mwelekeo mapema sana, hawezi kutoboa!

Hizi gharama alizoleta na anaona poa tuu kaja na ongezeko la mafuta bila sababu za msingi wanataka kuja na tulipie kadi za simu...kazi ipo hapo
 
Kenya kuna Katiba mpya vipi hamna ufisadi na watu wana maisha mazuri?
Unauliza South Africa kuna nini?

Chadema wanataka katiba kwa maslahi yao wao siyo wananchi.
Chadema wanataka kwa maslahi gani hayo?.maana inaonekana hata hujui ni kwanini kuna katiba kwenye nchi.
 
Huna aikili hata kidogo. Hivi kupanda gharama za mafuta na tozo za miamala zinawathiri chadema peke yao? Nina wasiwasi na Mambo mawili juu yako. Either unaishi kwa wazazi wako (hujitegemei) au wewe ni mtu pori unategeme mizizi na matunda
 
Kwa hiyo hupendi Mimi nikaujua mtazamo wako sio,basi baki na mtazamo wako na Mimi nitabakia na mtazamo wangu.
Kwa hiyo wewe,kila kitu hutaki,utaelewa tu,vinginevyo niseme unadeka.
 
Asubirie 2025 akapumzike, uongozi unamfaa mfanyabiashara au tajiri kwani ujua wapi apate pesa.
Badala ya kuchochea watu wazalishe Ili wapate kodi wao ni kuongeza kodi tu juu ya kodi zamani kwa vyanzo vilevile
 
Porojo tupu, siku hizi hampigi vigelegele tena. Mwacheni mama afanye kazi, nyie endeleeni kujipatia fursa kwa hayo ma operation yenu yasiyo kichwa wala miguu.
 
Sio wewe mwenyewe ndio umepoteza muelekeo kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…