Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

Mh. Raisi bado hajachelewa kuweka mambo sawa akitaka akubalike na Watanzania wengi asichelewe kupunguza hata kuziondoa kabisa kasoro zilizopo
 
nafsi za watu zimeinama kwakweli TOZO na kuwalipia wenye nyumba kodi ya Jengo ni kama tumechambishwa pilipili
 
Lakini pia tuseme tu ukweli. Kuwaongoza Watanzania siyo kazi rahisi kivile. Hata kama tungekupa wewe leo hii uwe rais. Watanzania hawa hawa wangekupiga madongo tu hata kama ungefanya mazuri kiasi gani.

Mimi nadhani kwa viongozi hawa njia ni rahisi tu. Watambue kuwa hawatapendwa na kila mtu hata kama wangefanyeje. Cha muhimu tu wafanye kila wakifanyacho kwa kuzingatia katiba na sheria zilizopo basi. Mengine wawaachie keyboard warriors na watukanaji wa mitandaoni humu.
 
Bora jiwe alikuwa muwazi , alifanya mchana kweupe na ujinga wake aliumbuka na balozi zilimtenga lakini sio huyu anae lisha watu maneno na kujifanya yupo na wananchi, eti tumekubali tozo ,madini yanatoka yaliyo zuiwaa mpaka waziri mkuu kulitolea maelzo kamwe tusingejua,analisha wananchi maneno bado wanao mpinga anawalisha maneno ambayo sio yao Maajab zaidi toka niijue hii nchi

sikuwahi kutegemea ubalozi wa nchi kama denmark ufunge ubalozi wake 2024,
sijawahi fikilia mtu afanye tukio la mauaji karibu na ubalozi ,
sijawahi fikilia kama kiongozi mkuu anaweza pewa kesi ya ugaidi mchana kweupe,
hii roho ya huyu mama sio ya kawaida na anachukulia mambo kirahisi sana.

halafu rais hapaswi kutamka maneno kama ugaidi mbele za watu hajui kama rais huamsha mambo ambyo hayapo kwa kauli zake.

natoa salamu kwa kimbuga job na serikali ya mama samia kauli ya job juu ya igp haina usalama na afya kwa serikali yetu kiburi chake cha uhakika wa kutofungwa sio upelekee amkebehi igp hii ni hatari.

naona mpasuko mkubwa, usaliti na utii kupungua kati yao ambao hujawahi kutokea ndani ya hii nchi na hili nalithibitisha kwa kauli za slowslow baada ya kusema tusitishane rais kasema hili jambo ni hiari.

Mungu ailinde hii nchi.
 
Kosa alilifanya yeye mama kwa kushindwa kumalizia kupiga deki jengo zima.

Angeafisha kabisa ili aanze upya lkn akawabakisha wenye ufuasi wa jiwe ndiyo maana sasa hivi anaonekana kuishiwa pumzi
hii ni hatari zaidi ya unavyo fikilia umuweke waziri mkuu nje na mawaziri wake, katibu mkuu serkalini, katibu mkuu ccm na viongozi wengine wa umma na usalama kwngu naon hii ingeleta ugumu kwa 2024 au ingebidi huyu mama kbl hajafika 2025 wngmfanyia hujuma amabyo asingsahau

mwache awachanganye wengine wapate wengine wakosa ila wakose umoja ukiitoa serikali iliyopo usuke mpya wanasuka mipngo mizito na unaweza usfanye kazi kwa uhuru, kama tu saiv kuna utofauti wa kauli baina ya viongozi basi kwa chini kuna mengi na wengine hawataki kujionysha,
 
Mimi kama mfuga majini raisi samia bado ana ushawishi na ataendelea kuwa na ushawishi.
 
Nimekuelewa sana na nafurahi pia nawe kuonyesha kuwa kuna kundi ndani ya serekali linamfanyia sivyo mama
 
aise una roho ngumu kwel babu ka muzimu,,kwamba nchi ilivyo hivi unasema tunenda vzur duuu!!..
 
Ukiacha unafki hata wewe Ukweli unaujua .kupanda ghalama za maisha kunamuumiza Kila mtu.
 
Ukiacha unafki hata wewe Ukweli unaujua .kupanda ghalama za maisha kunamuumiza Kila mtu.
aise una roho ngumu kwel babu ka muzimu,,kwamba nchi ilivyo hivi unasema tunenda vzur duuu!!..
ninyi mmezaliwa juzi tu hamkumkuta Magufuli, hata michango ya kejeli haikuruhusiwa humu JF sembuse Magazeti
mnataka tu kulaumu wakati kilio cha TOZO Mama kaagiza kifuatiliwe na Leo waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kaondoa 30% na Mashirika ya Simu yameondoa 10%
km mmeumbwa kulalama tungewaona enzi ya Mwendazake au mnatokea Chatoland mmejaa kero za mabadiliko?
 
Binafsi naona ni kama hatuna rais, kama hicho kiti kimemshinda ni bora angekaa pembeni awaachie wenye uwezo.
 
Viongozi wanapatikana miongoni mwetu, si kwa utashi wa wengi, bali kwa utashi wa wachache. Matokeo ni wengi kutawaliwa kwa mabavu na kutumia raslimali za nchi kudhibiti, badala ya kuleta maendeleo nchini.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nikikumbuka zile siku za mwanzoni mwanzoni nilikuwa napaki boda boda yangu pembeni kusikiliza hotuba natamani kulia walahi, walau zile bukubuku za wateja niliowakosa zingenisaidia kuongezea kwenye mahitaji.😬😬😬😬
 
Mama ameshapoteza usikivu amekuwa kama mtangulizi wake.
 
Katiba mpya
 
Katiba mpya
 
Subiri uchaguzi utajua ushawishi umepotea au upo.

Mama hana mda wa propaganda na kujitutumua ,kutukana na kudhalilisha watumishi,kujifanya anamjua Sana Mungu na upuuzi mwingine kama mwendazake.

Anachapa Kazi kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…