Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

Ukweli wanaujua sn kuwa huyu bibi hana mvuto tena
 
Subiri uchaguzi utajua ushawishi umepotea au upo.

Mama hana mda wa propaganda na kujitutumua ,kutukana na kudhalilisha watumishi,kujifanya anamjua Sana Mungu na upuuzi mwingine kama mwendazake.

Anachapa Kazi kimya kimya.
Kukamata watu ndiyo anachapa kazi na kuongeza ugumu wa maisha
 
Nikikumbuka zile siku za mwanzoni mwanzoni nilikuwa napaki boda boda yangu pembeni kusikiliza hotuba natamani kulia walahi, walau zile bukubuku za wateja niliowakosa zingenisaidia kuongezea kwenye mahitaji.[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahaha
 
Ng'onbe ndama
 
Mwanzo huyu mama alikuwa anenda vizuri sana ila sasa naona lile kundi maarufu limeshampoteza tena kwa makusudi ili aonekane hafai.
Kundi la sukumagang alishaliondoa Sasa ni zenjigang na Msoga gang.
Usihusishe Tena Hilo kundi.
Akifanya mazuri asifiwa yeye akikosea sukumagang inalaumiwaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kundi la sukumagang alishaliondoa Sasa ni zenjigang na Msoga gang.
Usihusishe Tena Hilo kundi.
Akifanya mazuri asifiwa yeye akikosea sukumagang inalaumiwa[emoji38][emoji38][emoji38]
Aukuma gang ni hatari sana
 
Kabakia kuimba ngonjera na kudemka tu kama wazanzibari wengi walivyo!
 
😍
 
Ukitaka utujue baadhi ya vijana wa kitanzania kuwa tunapenda kuendekeza SIASA zenye "petty issues" na si "substantial" basi angalia tu jana baada ya mh.Spika kuteleza ulimi wake....WATU WAMEACHA YOTE YA MAANA NA "KUSEREREKA" na "ulimi ulioteleza"......

Vijana hao HUTULAZIMISHA ya kuwa kila RAIS ACHAGULIWAYE HANA UZURI....AMA AMEPOTEZA USHAWISHI.....

Ukiwafuatilia utamaizi ya kwamba HUTAFUTA VITU VINAVYOWAFURAHISHA JUU YA KIONGOZI(RAIS)...kinyume na hapo huwa mbaya.....Sasa RAIS ANAONGOZWA NA "RIMOTI ZILIZO MIKONONI" mwao ?!!! 😲😲😲


HASHTAG CCM IENDELEE TU KUITAWALA HII NCHI
 
Vichekesho vikubwa hivi 🀣🀣🀣

Vijana wa upinzani hawatokaa KUISIFU SERIKALI YA CCM....abadaan

Kazi Yao ni kulaumu tu....
Kazi yao ni kushambulia tu...
Kazi yao ni KUZODOA NA KUDHIHAKI tu.......

Kwao akipatikana Rais asiyetokana na CCM atakuwa ni Rais bora aliyetoka "mbinguni".......

ENDELEENI TU KUUFUKUZA UPEPO


Mh.Rais amesaidia kuipunguza TOZO YA MIAMALA YA SIMU KWA 40%....

#SiempreJMT
 
Anasema kama hawaamini basi wafanye tafiti watajionea wenyewe

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unadhani kila mtu ana muda mchafu??? Mama Samia na team yake wapo busy kuwahudumia Watanzania. Nyinyi endeleeni na tafiti
 
Wanasema wamefanya tafiti.

Tafiti my fooΓ²ooooooooot
 
hata zile siku 100 za mwanzo zilikuwa za kumpamba tu promo ilikuwa nyingi hakika kama Taifa tuna kazi ila tusiache kumuomba Mungu atuvushe.

samia anaweka rekodi ya rais aliechukiwa mapema na wananchi kabla ya kumaliza hata miezi 6 ya uongozi wake.
 

JPM anawacheka huko aliko. Maana zile siku 100 kuna watu walisahau kwamba mambo huwa hayabadiliki kirahisi kama wanavyotaka
 
🀣🀣

Mh.SSH yeye anawaza yafuatayo-

-Aendelee kutoa ajira zaidi ya zile 8000 za TAMISEMI+ WIZARA YA AFYA(ikumbukwe ilipita miaka mingi mno hazipo)

-Atimize ahadi yake ya kuwaongeza mishahara watumishi wa umma mwaka ujao wa fedha

-Amalize miradi ya kimkakati(BWAWA LA UMEME MWALIMU NYERERE ,SGR ,MELI MPYA ,UPANUZI WA BANDARI n.k

-Ainue kilimo kwa kujenga barabara mpaka mashambani.....

-Aongeze VITUO VYA AFYA maeneo yasiyofikika kirahisi kwa ajili ya UZAZI SALAMA

Mh.SSH hafanyi TAFITI KOKO....ANATENDA......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…