Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

Kama hawafai hawafai tu hata wawe 1000.
 
🤣🤣Muda utaongea....

CCM si chama Cha Jana.....

#SiempreCCM
 
Oposition in this country has never won any Presidential general election, I have been part of change for over 21 years, so my level of bias was and will never weight heavily toward the ruling party unfounded .

I am not a person who is prevelaged to be informed with facts and never recognise the winner. Tujipange nguvu zaidi inatakiwa, tusijilazimishe kutengeneza uongo na tuuamini huo uongo kwa nguvu zetu zote.
 
Kwenye chozo jamani watuonee huruma wenzao khaaaaa!
 
Kama hawaamini basi wafanye tafiti watajionea wenyewe namna Samia alivyopoteza Support mtaani
Huwezi kupoteza kitu ambacho hukuwanacho. Hiyo support anayopoteza aliipata lini kama si ule unafiki wa kujiliwaza kwa waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli!
 
Kuna mbibi huku kitaa anasema samih angefaa kuimba taarabu kwenye urais wame........
 
In general…. Hakutakua na rais atakayeridhisha kila mtu unless awe mjinga na asiyeweza kusimamia utawala wa sheria

Na Bahati mbay zaidi ni kwamba sisi online community ni the biggest complainers without offering any solutions

hata familia tu zinatushinda

acheni mama afanye kazi
 
Watu wa namna hii hata mkija kuongozwa na Malaika mtalalamika tu. Nahisi hata kujiongiza wenyewe ni ngumu. Na kwa namna hiyo basi kwa kuwa mmezoea kulalamika hata siku mkipewa nchi mtaanza kugombania vyeo na kuleta mgawanyiko mkubwa wa kikanda au ukabila katika nchi.
 
Exactly
 
Fikra za Bavicha bana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…