Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

Mdudu Mende

Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
78
Reaction score
120
Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea

Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa

What does this mean? Mama aliamua kufuata sheria za Uganda, au aliogopa Uganda kuwa inavirusi na Tz hakuna.

Nimependa tu alivyo wasalimu hao wadada .. Habari ya barakoa kwetu haina kazi tunasubiri maoni ya kikosi cha wataalamu
 
Ila hayati Dr JPM aliwahi kusema kuwa kuna baadhi ya maofisa wa serikali walienda nje kudunga chanjo. Labda hata wengine walidungia humu humu nchini.

Ila kama ni ukaidi tu, dude lipo, ingawaje mazingira yanakuwa magumu kwa hilo virus mpaka Des, Jan, Feb, na March hivi!
 
Amerudi tena Dar es salaam si angetua Dodoma Ikulu au ndiyo amehamia kabisa Dsm?​
Ni ubishi tu Wa mwendazake.. ILA kiukweli IKULU YA DODOMA HAIJAKAMILIKA .. KIUSALAMA HAIFAI KUTUMIWA NA RAIS KWA MAKAZI na utendaji wa KILA siku.. Hivyo ni Bora mara Mia Kubaki Dar. Hadi Ikulu mpya Itakapokamilika Na kufunguliwa rasmi ndipo Amir Jeshi mkuu Atahamia.. KWA watendaji wengine wa Selikali ni Sawa Kuhamia DODOMA maana hawaishi OFISINI wanarudi majumbani mwao tofauti na RAISI.
 
Ila hayati Dr JPM aliwahi kusema kuwa kuna baadhi ya maofisa wa serikali walienda nje kudunga chanjo. Labda hata wengine walidungia humu humu nchini.

Ila kama ni ukaidi tu, dude lipo, ingawaje mazingira yanakuwa magumu kwa hilo virus mpaka Des, Jan, Feb, na March hivi!
Ajabu ya hiyo chanjo, mtoa chanjo mwenyewe anavaa barakoa!!!!
nilitegemea kwa vile wanachanjo tayari CORONA hawata pata tena, hivyo baroka haina nafasi kwa mtu mwenyewe chanjo
 
Kwa covid nitamshukuru JPM daima kutupa imani, wacha wachache wetu wapotee,wengi wapone.Hatuna uwezo control hiyo kitu mbali ya kupoteza rasmali,muda ,pesa...Kama PM UK,German waliugua iweje sisi huku?
 
Huwa nakumbuka maneno ya yule waziri wa Thailand, Corona is like your wife, initially yu try to control it, and you realise you can't, than you live with it
 
Back
Top Bottom