imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Watu wa kawaida ambao hawana umaarufu wowote huwezi ukaziona Tanzia zao humu sio kwamba Ugonjwa hatari wa Covid19 unaua kwa zamu laa hashaKwa sasa hivi vimeamia Kwa watu wa kawaida?.
Corona yetu nzuri inapiga Kwa zamu.