Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea

Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa

What does this mean? Mama aliamua kufuata sheria za Uganda, au aliogopa Uganda kuwa inavirusi na Tz hakuna.

Awe makini asituletee tanzia jingine hapa.
 
Kwa covid nitamshukuru JPM daima kutupa imani, wacha wachache wetu wapotee,wengi wapone.Hatuna uwezo control hiyo kitu mbali ya kupoteza rasmali,muda ,pesa...Kama PM UK,German waliugua iweje sisi huku?
Kwa maoni yako hata yeye kupotea ni sawa? Au wewe kupotea?
 
Hiyo chanjo yenyewe ni valid kwa miezi sita tuu,baada ya hapo hakuna dhamana tena, unaweza kuugua muda wowote nakupata madhara.
Mimi naona ni upigaji hela tuu, bado hakuna suluhisho
Corona itaendelea kutamalaki ulimwenguni mpaka Muumba mwenyewe atukomboe
 
Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea

Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa

What does this mean? Mama aliamua kufuata sheria za Uganda, au aliogopa Uganda kuwa inavirusi na Tz hakuna.

Mmama akemee huo ulinzi wa kutisha, maana sio kawaida yetu.
 
Back
Top Bottom