imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wewe una IQ hafifu ndio maana hunielewiHuwezi kumfurahisha kila mtu, Ata mimi mpiga kura vile vile, Sina tatizooo na mama akitaka atavaa, akiona inamnyima raha atupilie mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una IQ hafifu ndio maana hunielewiHuwezi kumfurahisha kila mtu, Ata mimi mpiga kura vile vile, Sina tatizooo na mama akitaka atavaa, akiona inamnyima raha atupilie mbali
Nikiangalia eneo la kata ninaoishi na jamaa zangu wa mikoani misiba ni mingi na mingine inanihusu.
Umeishiwa maswali haya kaa pembeni, au ulifikiri mpiga kura ni wewe peke yako? Corona ni kama magonjwa mengine hakuna haja ya kupiga mayoweWewe una IQ hafifu ndio maana hunielewi
Sio kweli,kama vifo ni vingi,hao wafiwa wanafurahia watu wao waendelee kufa huku wakiwa kimya?unaweza kuvumilia kuona mke na watoto wako wamekufa halafu ukaa kimya...?Vifo bado vingi tu viko mitaani na wengi ni watu wa kawaida ndio maana hizioni Tanzia himu.
Acha UongoVifo bado vingi tu viko mitaani na wengi ni watu wa kawaida ndio maana hizioni Tanzia himu.
Assad, Lisu, Lema wamepuuzwa tena?anamuenzi marehemu?
Arudishe na jiji letu kabisa. Kwenda kuungua Dodoma na maji ya chumvi. Kaa Magogoni mama. Taratibu tutaelewana tu.Amerudi tena Dar es salaam si angetua Dodoma Ikulu au ndiyo amehamia kabisa Dsm?
Hahaha Jiwe pia alisemwa kuwa kachanjwa chanjo ila sisi anatuzuga na kututoa kafara, lakini Museven kachanjwa ila bado anavaa barakoa. Nakumbuka pia tuliambiwa hawa viongozi hawavai barakoa kwa kumuogopa Magufuli ila Magu kafa na ila bado hawavai...kuna uwezekano mkubwa huyu mama alishachanjwa..labda chanjo za wachina walipokuja kipindi kile..au akipenda kimya kimya ulaya kuchanja Kama kina mbowe...hawa viongozi wetu kuna mambo mengi hawatuambii...
Kwa mawazo ya hivi acha Ibrahimovic aendelee kutuita Child Monkeys.All in All They want to destroy all Projects that were Implemented by Late Magufuli.Ni ubishi tu Wa mwendazake.. ILA kiukweli IKULU YA DODOMA HAIJAKAMILIKA .. KIUSALAMA HAIFAI KUTUMIWA NA RAIS KWA MAKAZI na utendaji wa KILA siku.. Hivyo ni Bora mara Mia Kubaki Dar. Hadi Ikulu mpya Itakapokamilika Na kufunguliwa rasmi ndipo Amir Jeshi mkuu Atahamia.. KWA watendaji wengine wa Selikali ni Sawa Kuhamia DODOMA maana hawaishi OFISINI wanarudi majumbani mwao tofauti na RAISI.
Tumwombee afya na kazi njema.Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa
Sio kweli,kama vifo ni vingi,hao wafiwa wanafurahia watu wao waendelee kufa huku wakiwa kimya?unaweza kuvumilia kuona mke na watoto wako wamekufa halafu ukaa kimya...?
Sisi watu wa Mungu, Tanzania hakuna korona! There is a huge god which looks after the United Republic of Tanzania. That is the crap we are fed. Wakifa wanasema homa ya mapafu.Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea
Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa
What does this mean? Mama aliamua kufuata sheria za Uganda, au aliogopa Uganda kuwa inavirusi na Tz hakuna.
Death certificate iliandikwa vipi? Leaders are playing with Covid-19, it is horrible.Watu wanakufa mmoja mmoja. Wingi au uchache ni suala la sera ya nchi kuhusu thamani ya uhai wa raia wake. Marekani vifo vilipofikia laki moja, suala la covid-19 lilikuwa nyeti serikalini. Hapa kwetu sijui kama hata kuna critical point.
Anyway, misiba na mazishi ni ya familia sio jumuia au mitaa. Inaishia huko. Wala sio suala la media. Kama serikali haihitaji takwimu za vifo hivi haviwezi kujulikana. Hakuna haja ya kubishana wala hakuna faida inayopatikana.
Wiki iliyopita nilikuwa na msiba wa ndugu yangu aliyeugua hospitali kwa wiki moja. Aliwekewa ventilator lakini baada ya kuhangaika sana hakuweza kupona. Tumeweka msiba, kilio na kuzika. Tumemaliza. Wanaofikiri ni suala la kushinda ubishi waendelee.
Mkuu hata vifo vya watu wakawaida huwa tunakutana na Tanzia na tahadhari za kutosha kwenye magroup ya whatsapp na social media nyinginezo. Kipindi hiki zimepungua sana huenda ni kweli wimbi la pili limeisha tujiandae na lijalo.Vifo bado vingi tu viko mitaani na wengi ni watu wa kawaida ndio maana hizioni Tanzia himu.