Mdudu Mende
Member
- Mar 31, 2021
- 78
- 120
Ni ubishi tu Wa mwendazake.. ILA kiukweli IKULU YA DODOMA HAIJAKAMILIKA .. KIUSALAMA HAIFAI KUTUMIWA NA RAIS KWA MAKAZI na utendaji wa KILA siku.. Hivyo ni Bora mara Mia Kubaki Dar. Hadi Ikulu mpya Itakapokamilika Na kufunguliwa rasmi ndipo Amir Jeshi mkuu Atahamia.. KWA watendaji wengine wa Selikali ni Sawa Kuhamia DODOMA maana hawaishi OFISINI wanarudi majumbani mwao tofauti na RAISI.Amerudi tena Dar es salaam si angetua Dodoma Ikulu au ndiyo amehamia kabisa Dsm?
Ajabu ya hiyo chanjo, mtoa chanjo mwenyewe anavaa barakoa!!!!Ila hayati Dr JPM aliwahi kusema kuwa kuna baadhi ya maofisa wa serikali walienda nje kudunga chanjo. Labda hata wengine walidungia humu humu nchini.
Ila kama ni ukaidi tu, dude lipo, ingawaje mazingira yanakuwa magumu kwa hilo virus mpaka Des, Jan, Feb, na March hivi!
Ajabu ya hiyo chanjo, mtoa chanjo mwenyewe anavaa barakoa!!!!
nilitegemea kwa vile wanachanjo tayari CORONA hawata pata tena, hivyo baroka haina nafasi kwa mtu mwenyewe chanjo
Mama aanze kuvaa Barakoa
Huwa nakumbuka maneno ya yule waziri wa Thailand, Corona is like your wife, initially yu try to control it, and you realise you can't, than you live with itKwa covid nitamshukuru JPM daima kutupa imani, wacha wachache wetu wapotee,wengi wapone.Hatuna uwezo control hiyo kitu mbali ya kupoteza rasmali,muda ,pesa...Kama PM UK,German waliugua iweje sisi huku?
Hili swala tusilifanye la Kisiasa Mkuu Mama aonyeshe mfanoLISU na mbowe wanavaa?
Hili swala tusilifanye la Kisiasa Mkuu Mama aonyeshe mfano
Vifo bado vingi tu viko mitaani na wengi ni watu wa kawaida ndio maana hizioni Tanzia himu.Na siku hizi vifo vya CHANGAMOTO ZA UPUMUAJI SIVISIKII..
Vifo bado vingi tu viko mitaani na wengi ni watu wa kawaida ndio maana hizioni Tanzia himu.