Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

Kwa sasa hivi vimeamia Kwa watu wa kawaida?.
Corona yetu nzuri inapiga Kwa zamu.
Watu wa kawaida ambao hawana umaarufu wowote huwezi ukaziona Tanzia zao humu sio kwamba Ugonjwa hatari wa Covid19 unaua kwa zamu laa hasha
 
Au Tanzania hakuna Corona? Wananchi Tuambiwe
 
Alivaa barakoa Uganda. Kama ali maintain social distance Dar kwa nini avae barakoa?

Wajameni mbona hii mambo iko wazi mno?
 
Mama kaamua asivae , na siku akitaka atavaa, lakini sio kwa kelele zenu ni mpaka atake mwenyewe
Kweni ni fashion anatakiwa aonyeshe mfano mbona Maraisi wenzie wanaonyesha mfano kwa Wananchi wao.
 
Kweni ni fashion anatakiwa aonyeshe mfano mbona Maraisi wenzie wanaonyesha mfano kwa Wananchi wao.
Yeye mfano huo unaoutaka wewe yeye hautaki, ataonyesha mifano kwenye mambo mengine, tena wala hakuna ulazimaa wa Rais Samia kufanana na Marais wengine, kila mtu na nchi yake na mambo yake
 
Yeye mfano huo unaoutaka wewe yeye hautaki, ataonyesha mifano kwenye mambo mengine, tena wala hakuna ulazimaa wa Rais Samia kufanana na Marais wengine, kila mtu na nchi yake na mambo yake
Huoni kama ni uzembe, na sio matakwa yake ni kwa ajili ya wapigakura anaowaongoza.
 
Ajabu ya hiyo chanjo, mtoa chanjo mwenyewe anavaa barakoa!!!!
nilitegemea kwa vile wanachanjo tayari CORONA hawata pata tena, hivyo baroka haina nafasi kwa mtu mwenyewe chanjo
Neno chanjo nikiangalia tafsiri yake linanipa shida sana kwasasa
 
Iwapi gulf stream? mbona wanatumia ndege ya biashara?
 
Hizo taarifa za misiba za watu wa chini unazipata wewe tu
Watu wa kawaida ambao hawana umaarufu wowote huwezi ukaziona Tanzia zao humu sio kwamba Ugonjwa hatari wa Covid19 unaua kwa zamu laa hasha
 
nilimwona akiwa uganda na m7 alivaa barakoa
 
Awe makini akileta ubishi nae tutaimba nyimbo zile.
 
Hv huyu Nchimbi Bado yupo nchini namuona kila siku airport anaposafiri au kumuaga mama samia ,yupo likizo au
 
Ila Tanzania kulikuwa kuna ujinga sana. Wanahimiza kujifukiza lakini barakoa hawavai
 
Huoni kama ni uzembe, na sio matakwa yake ni kwa ajili ya wapigakura anaowaongoza.
Huwezi kumfurahisha kila mtu, Ata mimi mpiga kura vile vile, Sina tatizooo na mama akitaka atavaa, akiona inamnyima raha atupilie mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…