Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

Awe makini asituletee tanzia jingine hapa.
 
Kwa covid nitamshukuru JPM daima kutupa imani, wacha wachache wetu wapotee,wengi wapone.Hatuna uwezo control hiyo kitu mbali ya kupoteza rasmali,muda ,pesa...Kama PM UK,German waliugua iweje sisi huku?
Kwa maoni yako hata yeye kupotea ni sawa? Au wewe kupotea?
 
Hiyo chanjo yenyewe ni valid kwa miezi sita tuu,baada ya hapo hakuna dhamana tena, unaweza kuugua muda wowote nakupata madhara.
Mimi naona ni upigaji hela tuu, bado hakuna suluhisho
Corona itaendelea kutamalaki ulimwenguni mpaka Muumba mwenyewe atukomboe
 

Mmama akemee huo ulinzi wa kutisha, maana sio kawaida yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…