Rais Samia amerejesha uhuru wa kujieleza na kutoa maoni bila woga

Mama anastaili pongezi kwa kurudisha uhuru wa kujieleza na kutoa mwanya wa kutoa maoni nchini ambapo hapo awali hatukupata fursa hiyo ya kuona mambo yakijadiliwa kwa uhuru hasa kwenye bunge letu tukufu now tunaona bunge likienda live bila chenga....Hongera sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan
 
Kuuza nchi kwa Waarabu kwa sababu ya uvivu wa kufikiri na kutenda kuna uzuri wowote au manufaa yoyote kwa nchi kizazi hiki na kijacho?
Ujue sehemu ya nyuma ya mwili wako chini ya kiuno ni kwa ajili ya kukalia, usiitumie kufikiri
 
Samia na ccm wanajivunia sana upumbavu kama huu!

Ndugai kilimkuta kitu gani?

Kwa maoni waliyotoa wale mazuzu pale bungeni ndio uhuru huo.
Hata haya unayoyatoa Zuzu wewe ni maoni
 
Wote walewale kasoro mama amekuwa mbaya zaidi.
 
Hii ndio hulka ya waislam kusikiza, kuthamini na kujali wananchi sio wale wa upande uleee, ukipinga tu kama hujazushiwa kesi unapotezwa mazima
Hongera sana
#MAMAWATAIFA
Anajifanya yupo busy na yanga kutafuta popularity tunamchora tu cjui alijichagua kwajil ya yanga. Sasa nasema Must go
Samia had 2040, wagalatia hatuwapi tena nchi wauaji
 
Badi hakuna Uhuru niambie Gazeti au Tv au Radio inayo pinga haya mambo ya DP
 
Kwa hili kwa kweli mhe. Rais Anapaswa kupongezwa. Watu full povu hakuna anayetekwa mambo swaaafi kabisa. Atakayegombea kumpinga mwaka 2025 atapata radhi ya albert chalamila.
 
Heko mama Samia, tunampa maua yake.
 
Hakika #MamaYukoKazini na ndio maana tunasema Rais tunaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…