Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

Ninge shauri tuchangie kwa masrahi ya taifa so kwa hisia au chili binafsi Nina amini tunge elewan
 
Mada Kama hizi niza kuzijadili kwa facts Sana so za kuzijibu kishabiki shabiki au kibinafsi binafsi tuna weza kupata jibu sahihi kwa masrahi ya taifa letu
 
Huo ushirikiano wa Kovid/IMF na Foreigners hautoshi hyo misaada na mikopo wanayotoa mpk mitozo hinyahinya kwetu,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…