Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo.
Najiuliza anayajua majibu yanayotolewa na mawaziri wake kwenye Bunge la JMT!
Najiuliza anayajua majibu yanayotolewa na mawaziri wake kwenye Bunge la JMT!