Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

Wewe huna nyuzi hata moja ya kuhoji, ina maana hamna cha kuhoji!!??
Kwa nini hajasema tuwe na jamii ya kusifiasifia kama Lucas mwashambwa !!!???

Asiyehoji ni "maiti inayoishi".
 
Shida kweli kweli
 
Ni uzuni mkubwa sana ccm ya sasa imearibu vijana ndani ya chama chake wa kuhoji na wenye jeuri kama ambavyo Mw Nyerere alisisitiza katika hili , matokeo yake ccm ya sasa imetengeneza machawa na Makunguni,

Ccm imekufa kifo kibaya sana
CCM bado ni imara ,madhubuti na yenye ushawishi mkubwa sana kwa watanzania.ndio maana Inaendelea kuaminika, kupendwa na kukubalika sana kwa watanzania.
 
Bado ndani ya serikali yake wapo watu wenye HULKA ya 'Jiwe'!
Hukawii kuambiwa;
'Wewe sio raia"
'Wewe gaidi"
"Wewe ni muuaji'
Hata kupotezwa
 
Rais ni mnafik kiwango cha SGR
Hakuna Raisi mpumbavu wa kiwango cha lami!.... Kama huyu tulienae,

Watu wenye akili timamu walihoji kuhusu mkataba wa milele wa DP world... Akakaa kimya,

Sasa hivi anaongea upumbavu Gani!? Na bandari kawapa wajomba zake! Waarabu
 
Hakuna Raisi mpumbavu wa kiwango cha lami!.... Kama huyu tulienae,

Watu wenye akili timamu walihoji kuhusu mkataba wa milele wa DP world... Akakaa kimya,

Sasa hivi anaongea upumbavu Gani!? Na bandari kawapa wajomba zake! Waarabu
Wewe huna akili kabisa.umelaaniwa na mama yako mzazi.uwe na adabu kwa Rais wetu.
 
Upuuzi mtupu! Utekaji bado unaendelea ujue!
Alishasema chawa wake hawavumilii yeye kukosolewa!!
 
Wewe mboga mshenzi sana! Unasifia kuuzwa nchi nyangau wahead!!
 
Sijaelewa maana yake. Kweli alimaanisha "kuhoji"? Kama ni kweli, basi tumepiga hatua kubwa sana ambayo nilikuwa hata sijajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…