Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Mama ni changa, bure kabisa mateja wamejaa ndani ya siku 100 tu magu alimwachia nchi ikiwa imenyooka ila sasa mambo yanatisha bado miezi mitatu tu uchumi unaanza kuanguka vibayaSiku hizi mateja wameanza onekana pia maana yake madawa ya kulevya pia yako nje nje...