Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

Lakini pia msisahau kwa Tanzania kodi kwenye mafuta zipo zaidi ya 10. Anayesababisha bei kuwa juu ni hii Serikali yetu ambayo wanaoiendesha uelewa wa uchumi ni zero.
UKOKOTOAJI WA BEI ZA MAFUTA YANAYOPOKELEWA BANDARI YA DAR ES SALAAM (Mfano Petrol/Lita)

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita.

FYI
 
Kodi ni nyingi Sana wanalipana walaji tu. Ccm ustawi wa nchi na wananchi
 
Azidiwe mara ngapi? Team Msoga ...... oops mizoga ipo kazini.
 
Yule waziri anayejiita mchumi first class ndio uwezo wake umeishia hapo?
 
Inasikitisha sana na wanajeuri sana, siyo wa hapa nchini tu hata wa kwenye mataifa mengine...
 
Maajabu haya Zambia kongo Burundi rwanda Malawi mafuta yapo bei ya chini na yanapitia hapa nchini kwetu lakn siye Bei zipo juu

Mizoga ya msoga inaongoza nchi
 
Ukipandisha wese tu, automatically umeruhusu “inflation” kwenye kila kitu maana items zote watadai zinasafirishwa barabarani. Matokeo yake mlaji mnyonge wa mwisho kabisa ndio anaathirika pakubwa

Kwa Samia tumepigwa!
Si mmesema nyie sio wanyonge
 
UKOKOTOAJI WA BEI ZA MAFUTA YANAYOPOKELEWA BANDARI YA DAR ES SALAAM (Mfano Petrol/Lita)

1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita.

FYI
Duuh.
 
Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400

Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...

Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.

Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..

Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.

Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.

Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.

Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Kazidiwa au ndivyo alivyo ? fuatilia mgogoro wa cuf uone mchango wa mama halafu ulete ushahidi wa uadilifu wake
 
Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400

Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...

Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.

Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..

Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.

Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.

Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.

Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
Sijajua unamaanisha Tanzania ipi maana Mkoa wa kagera bei ya mafuta ni > 2630 kwa hiyo ni zaidi ya ulivyoandika, ni hatari sana. Na kama ulifuatilia hotuba ya Mama akiwa Morogoro alisema waliamua kuongeza bei ya mafuta kwa Tsh 100 ili zipatikane fedha za kujenga barabara za vijijini (TARURA)
 
Bei ya Petroli kwa lita
Zambia 1800
Rwanda 1800
Kenya 2000
Tanzania 2400

Naona Mama keshaanza kuzidiwa mapema sana na wapigaji
Oil cartel hii imeshasambaza 'hela'za kutosha huko Ewura na kwingineko now
Wana panga bei wanavyotaka...

Hii Cartel ina watu jeuri Sana waliwahi kumgomea Kikwete kushusha bei kama mnakumbuka. Wanataja sababu zao za kupandisha bei lakini ukitazama nchi jirani ambazo zingine mafuta yanapitia kwetu unashindwa kabisa kuelewa.Ewura wanaitumikia serikali na wananchi au wanawatumikia hawa Oil cartel.

Kenya kwa kulazimisha big oil companies ziwe listed Stock exchange imewasaidia Sana transparency na kuwadhibiti..

Sisi niliona Magufuli alikuwa anajaribu TPDC wauze mafuta kwa kuwa na vituo kila mkoa lakini naona now hiyo policy nayo itakufa na sidhani kama ingesaidia sana.

Dawa ilikuwa kuwalazimisha kama Kenya wawe listed kwenye soko la hisa.

Na serikali inunue hisa kwa baadhi ya hizo kampuni kulazimisha transparency.

Otherwise naona Mama washamzidi na Ewura isharudi mifukoni mwa hawa wapigaji...
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert Einstein
 
Ila CCM bana. Mwaka wa sita huu mishahara iko palepale ila kodi zinazidi kuongezeka wakati hao hao watumishi ndo wanapasuka kwa kuongezeka gharama za maisha. Unalipa income tax kubwa ukija mtaani mfanyabishara anampasua tena kwa bei za bidhaa. Ni kama unalipa kodi mara kumi kumi wangekuwa wanawafikiria watumishi wangeondoa kodi (income tax) kama mishahara wamegoma kuongeza
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert Einstein
 
Ukipandisha wese tu, automatically umeruhusu “inflation” kwenye kila kitu maana items zote watadai zinasafirishwa barabarani. Matokeo yake mlaji mnyonge wa mwisho kabisa ndio anaathirika pakubwa

Kwa Samia tumepigwa!
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert Einstein
 
Kuna watu wamekariri chorus ngoja waje utaitwa push gang sijui mataga!!! Mambo kibao yasharudi square zero.
Nchi imefunguliwa, eti deep state wanataka hata elimu ipande bei loh!! Dunia Ina maajabu
Very sad
 
Ukitoa hiyo 100 iliyoongezwa juzi haina difference kubwa na awamu zilizopita,ina maana hii nchi inategemea kodi kwenye fuel
 
Back
Top Bottom