Mnataka yeye ndiye alete mvua?
Ngoja ayajaribu makombati kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka yeye ndiye alete mvua?
Kilaza na Mvivu tu.Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania.
Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia anafahamu ila amechagua kuwa kimya kwa makusudi kabisa kwa sababu anazozijua yeye.
Jamani tupeni maji na umeme hayo mengine kama upigaji wa Bandari ya Bagamoyo endeleeni nayo wala hayupo wa kuwauliza.
Aukemee umeme usikatike na alikemee jua lipunguze ukali😆Mnataka yeye ndiye alete mvua?
Na asivyo na mshipa wa aibu,anataka eti kugombea tena 2025.Niliwambia watu humu,
Kwa kipindi cha miezi minne Samia alifaidika na Muundo wa uongozi wa Hayati Magufuli. Baada ya kuanza kuset Muundo wake mambo yamebuma kabisa.
Tusitegemee maendeleo ya maana awamu hii.Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania.
Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia anafahamu ila amechagua kuwa kimya kwa makusudi kabisa kwa sababu anazozijua yeye.
Jamani tupeni maji na umeme hayo mengine kama upigaji wa Bandari ya Bagamoyo endeleeni nayo wala hayupo wa kuwauliza.
21% mbona kidogo Sana!!! Kwa nini isiwe 50!?Anashughulikia ajira za wazanzibari kwanza. Tayari 21% wanapaswa kuwa wao JMT.
Na akaze zaidi hadi ile misukule iweze kutoka usingizini huko iliko.
21% mbona kidogo Sana!!! Kwa nini isiwe 50!?