Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

Kilaza na Mvivu tu.
 
Niliwambia watu humu,

Kwa kipindi cha miezi minne Samia alifaidika na Muundo wa uongozi wa Hayati Magufuli. Baada ya kuanza kuset Muundo wake mambo yamebuma kabisa.
Na asivyo na mshipa wa aibu,anataka eti kugombea tena 2025.
 
Tusitegemee maendeleo ya maana awamu hii.
 
Ok bc umeme na maji vimekushinda turudishie bei ya vifurushi vya zamani bc ata tupunguz machungu
 
Likaibuka neno Mwendazake badala ya Hayati Manyau yakashangilia kifo Cha Mpendwa wetu Leo Manyau japokuwa yanaona aibu kulinganisha utendaji kazi wake na Timu Msoga yamebaki nyuma ya keyboard kushangilia mambo yanayoendelea Sasa hata kama ni mabaya
 
Anashughulikia ajira za wazanzibari kwanza. Tayari 21% wanapaswa kuwa wao JMT.

Na akaze zaidi hadi ile misukule iweze kutoka usingizini huko iliko.
21% mbona kidogo Sana!!! Kwa nini isiwe 50!?
 
Waziri mkuu si amesema invester waje kuna umeme wa uhakika sasa mnataka mama akaseme nini tena.
 
hii nchi tunapelekwa kama kondoo pori.
Yaaani mgao wa maji, inawezekana vipi
au ni mpango ili wauze maji yao
waziri wa maji wa nini sasa
 
Tukiambiwa tusitumie mikaa hatuelewi.
Tukiambiwa tupande miti hatuelewi.
Sasa tujipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…