Rais Samia ametoa kiasi cha Tsh. Milioni 500 baada ya taifa Stars kufuzu 16 bora

Rais Samia ametoa kiasi cha Tsh. Milioni 500 baada ya taifa Stars kufuzu 16 bora

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizawadia timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) shilingi milioni 500 kufuatia kufanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).

Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 03, 2026 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi la Taifa Stars kwa njia ya simu walipotembelewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda

Waziri Mkuu Dkt. Nchemba amesema kuwa, Mheshimiwa Rais amewapongeza wachezaji, benchi la ufundi pamoja na Watanzania wote kwa mafanikio hayo ya kihistoria na kusisitiza kuwa serikali itaendelea kuwaunga mkono timu hiyo.

Aidha, Waziri Mkuu ameongeza kuwa, Rais Dkt. Samia ameahidi kutoa zawadi nono zaidi endapo Taifa Stars itaendelea kufanya vizuri na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo inayoendelea nchini Morocco.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.

Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.

Ajiandae kunyofolewa kama Maduro
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.

Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.

Mimi nadhani hajawatendea Haki Ndugu waliopoteza wapendwa wao, ametoa Milioni 500 kwenye mpira lakini hajatoa fidia kwa wale Ndugu waliopoteza wapendwa wao na Kuna watoto yatima amezalisha wengi sana yeye hajatoa hata mkono wa pole.

MUNGU usikie kuomba kwetu hizo Pesa alizotoa kwa wachezaji zisifanyike faida Bali hasara kwa hao wapokeaji wa hizo Pesa na ikikupendeza MUNGU tunakuomba Tanzania ikafungwe isiendelee mbele kwenye hatua zinazofuata.

MUNGU usikie kuomba kwetu huyu Shetani aliyetoa hizo fedha afe January hii hii ya Mwaka huu huu wa 2026. Hajali uhai wa wananchi wa Tanzania hususani watanganyika punzi ukaitishe eeh MUNGU wetu tunakuomba hili likatimie.

Amen
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.

Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.

Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Et ametoa, hyo hela katoa wapi?
Rais ana mshahara,ana posho kibao, ana mashamba makubwa pia,sidhani pia katiba inamzuia asikope Bank kwa dhamana ya mashamba yake,
So sio Kila pesa anayotoa kaichota hazina bali ni fedha zake mwenyewe tusimpangie matumizi nadhani.
 
Back
Top Bottom