stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
unajua kwa mwaka timu zetu zinalipa kodi kiasi gan serikalini na BMT?Chawa, hakuna kitu km hiyo, hayo ni matumizi mabovu kaka.
Halafu kuna mduwanzi alisema ID yako ni yangu.
unajua kwa mwaka timu zetu zinalipa kodi kiasi gan serikalini na BMT?Chawa, hakuna kitu km hiyo, hayo ni matumizi mabovu kaka.
Halafu kuna mduwanzi alisema ID yako ni yangu.
Samia ametoa! HIZO PESA NI ZAKE? AMA ZA SERIKALI!?Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.
Mshahara wake ni shillingi ngapi?Rais ana mshahara,ana posho kibao, ana mashamba makubwa pia,sidhani pia katiba inamzuia asikope Bank kwa dhamana ya mashamba yake,
So sio Kila pesa anayotoa kaichota hazina bali ni fedha zake mwenyewe tusimpangie matumizi nadhani.
punguani wahedRais ana mshahara,ana posho kibao, ana mashamba makubwa pia,sidhani pia katiba inamzuia asikope Bank kwa dhamana ya mashamba yake,
So sio Kila pesa anayotoa kaichota hazina bali ni fedha zake mwenyewe tusimpangie matumizi nadhani.
Hivi wakati SGR inasombwa na maji ametoa bei gani?Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.
Nadhani alisema huyo ndo choice variables kama sijakosea, au kuna mwngne mkuu?Chawa, hakuna kitu km hiyo, hayo ni matumizi mabovu kaka.
Halafu kuna mduwanzi alisema ID yako ni yangu.
Hii ndio priority ya nchi yetu?Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.
Kuna mwingine, jamaa alianzisha uzi, akaweka link ya mchezaji wake, nami nikakoment kwa kuweka link ya mchezaji mwingine, likakurupuka jitu likasema akaunti 2 mtu mmoja, kwamba upande chawa pro max, upande mhainiNadhani alisema huyo ndo choice variables kama sijakosea, au kuna mwngne mkuu?
Tutakesha hapa..unajua kwa mwaka timu zetu zinalipa kodi kiasi gan serikalini na BMT?
kila ela ukiweka kwenye madarasa michezo nani ataweka mothisha?Tutakesha hapa..
Kuwapa milioni 800 watu, wakati hizo zingeokoa wanafunzi wengi tu wasikae chini ni ujinga.
Wanataka motisha gani wakati ndicho walichoamua kufanya..kila ela ukiweka kwenye madarasa michezo nani ataweka mothisha?
Kivip bibie?punguani wahed
Came n suck ma dickKivip bibie?
Duuh MUNGU anapokea maombi mengi sana uko juu... bila kuchoka atasikia tuMUNGU usikie kuomba kwetu huyu Shetani aliyetoa hizo fedha afe January hii hii ya Mwaka huu huu wa 2026. Hajali uhai wa wananchi wa Tanzania hususani watanganyika punzi ukaitishe eeh MUNGU wetu tunakuomba hili likatimie.