Ajiandae kunyofolewa kama MaduroRais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.
nchi za kuishi mbna zpo nyingiI hate this country and this is one of the many reasons why
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Samia Saluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi milioni 500 baada ya timu kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pia atatoa kiasi zaidi kama timu itashinda mechi ya kesho dhidi ya Morocco.
Nipo Sweden mwaka wa tano sasanchi za kuishi mbna zpo nyingi
sweden mda wa mtandao unapata wapi, we tulizia komwe apo bariadiNipo Sweden mwaka wa tano sasa
michezo inaingiza pesa nyingi sana bongo huezi kuiacha ivi iviMama ma maeeee... jumla ni milioni 800, kuna shule wanafunzi wanakaliq mawe, kuna sehemu maji ni kipengele.
Rais ana mshahara,ana posho kibao, ana mashamba makubwa pia,sidhani pia katiba inamzuia asikope Bank kwa dhamana ya mashamba yake,Et ametoa, hyo hela katoa wapi?

Chawa, hakuna kitu km hiyo, hayo ni matumizi mabovu kaka.michezo inaingiza pesa nyingi sana bongo huezi kuiacha ivi ivi