Rais Samia ametoa kiasi cha Tsh. Milioni 500 baada ya taifa Stars kufuzu 16 bora

Samia ametoa! HIZO PESA NI ZAKE? AMA ZA SERIKALI!?

HAMCHOKI TU KUMPAMBA HUYO MWANASESELE WENU?!
 
naam motisha muhimu tunaenda kumnyoa Morocco
 
Rais ana mshahara,ana posho kibao, ana mashamba makubwa pia,sidhani pia katiba inamzuia asikope Bank kwa dhamana ya mashamba yake,
So sio Kila pesa anayotoa kaichota hazina bali ni fedha zake mwenyewe tusimpangie matumizi nadhani.
Mshahara wake ni shillingi ngapi?
Posho yake kwa siku ni shillingi ngapi?
Mashamba huwa anayapataje?
 
Rais ana mshahara,ana posho kibao, ana mashamba makubwa pia,sidhani pia katiba inamzuia asikope Bank kwa dhamana ya mashamba yake,
So sio Kila pesa anayotoa kaichota hazina bali ni fedha zake mwenyewe tusimpangie matumizi nadhani.
punguani wahed
 
Hivi wakati SGR inasombwa na maji ametoa bei gani?
 
Hii ndio priority ya nchi yetu?

Amandla...
 
Nadhani alisema huyo ndo choice variables kama sijakosea, au kuna mwngne mkuu?
Kuna mwingine, jamaa alianzisha uzi, akaweka link ya mchezaji wake, nami nikakoment kwa kuweka link ya mchezaji mwingine, likakurupuka jitu likasema akaunti 2 mtu mmoja, kwamba upande chawa pro max, upande mhaini
😂🤣
 
unajua kwa mwaka timu zetu zinalipa kodi kiasi gan serikalini na BMT?
Tutakesha hapa..
Kuwapa milioni 800 watu, wakati hizo zingeokoa wanafunzi wengi tu wasikae chini ni ujinga.
 
Kwanini wàsiwe wanasema serikali imetoa badala ya kusema sumuya katoa? Bado hawajifunzi.
 
MUNGU usikie kuomba kwetu huyu Shetani aliyetoa hizo fedha afe January hii hii ya Mwaka huu huu wa 2026. Hajali uhai wa wananchi wa Tanzania hususani watanganyika punzi ukaitishe eeh MUNGU wetu tunakuomba hili likatimie.
Duuh MUNGU anapokea maombi mengi sana uko juu... bila kuchoka atasikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…