Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

1: Ndugai katika kikao ambacho hakihusiani na bunge aliilaumu serikali iliyopo madarakani kwa kukopa

2: Katika mkutano huo aliwaambia hao waliokuwepo kwenye huo mkutano ". 2025 muangalie kama mtaendelea kuchagua wakopaji"

3: serikali iliyopo madarakani ni serikali inayotekeleza ilani ya CCM ambayo na yeye Ndugai ni mjumbe wa vikao vya juu.

4: Alikua na nafasi ya kutoa dukuduku lake kwa mambo yasiyompendeza akiwa bungeni au kwenye vikao vya chama.

5:Ni dhahiri Ndugai ndie aliyeanzisha hii sintofahamu, na ukiiangalia kwa undani ni dhidi ya Rais aliyopo madarakani hivi sasa, serikali zilizopita pia zimekopa na Ndugai alikua kiongozi bungeni na hakusema kitu.
My point is this: kama Ndugai amekemewa akajiuzulu akiwa SPIKA, je atakayekuja atakuwa na ubavu wa kuliongoza Bunge liisimamie serikali?
 
My point is this: kama Ndugai amekemewa akajiuzulu akiwa SPIKA, je atakayekuja atakuwa na ubavu wa kuliongoza Bunge liisimamie serikali?
Ndugu yangu naamini wewe ni mtanzania mwenzangu, spika huwa anawekwa na chama chake pale bungeni, serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya chama.

Wakati Ndugai akiwa ni spika ipo miswada mingi ilipitishwa na bunge kua sheria na ni sheria ambazo zina maslahi kwa serikali.

Hivi vikao vya chama vinavyoitwa kamati kuu, halmashauri kuu, ndio hao hao wapo serikalini na bungeni.
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.
Ingetakiwa uanze kumkemea jiwe maana yeye ndiye aliyeleta haya yote, Mungu wenu kafa sasa ndiyo mnataka support yetu. Pambaneni na hali zenu
 
Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]

Kabisa angekomaa kuheshimisha bunge…sasa mambo si mambo..

Anyway kila linalotokea hupangwa na mwenye mbingu na nchi ili jambo lake litimie…

Ngoja tuone safari bado ni ndefu
 
Ngoja waje wazee wa MAMA ANAUPIGA MWINGI
NA INCHI IMERUDI KWA WENYEWE
HA HA TANZANIA INAKWENDA KUWA TANZAGIZA
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWA.

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhimili wa Bunge! Pamoja na kuwa Ndugai alikuwa shetani, nunda mla watu.

Ndugai angerudishwa tu kiroho safi as if nothing happened…maana kiukweli hana kosa lolote…

Hatuna pesa za kupoteza kulipa mishahara maspika wawili at a per wakati mwingine anastaafishwa wakati uwezo wa kufanya kazi bado upo…
 
Achilia mbali waziri wa mambo ya ndani ambaye ni political figure. Jiwe alimpiga chini mkuu wa TISS nchini bwana Kipilimba.
Hivi TISS na wenyewe ni muhimili kama ilivyo bunge na mahakama? Huyo boss wa TISS si ni presidential appointee? Au mi ndio sielewi?
 
Back
Top Bottom