Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

My point is this: kama Ndugai amekemewa akajiuzulu akiwa SPIKA, je atakayekuja atakuwa na ubavu wa kuliongoza Bunge liisimamie serikali?
 
My point is this: kama Ndugai amekemewa akajiuzulu akiwa SPIKA, je atakayekuja atakuwa na ubavu wa kuliongoza Bunge liisimamie serikali?
Ndugu yangu naamini wewe ni mtanzania mwenzangu, spika huwa anawekwa na chama chake pale bungeni, serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya chama.

Wakati Ndugai akiwa ni spika ipo miswada mingi ilipitishwa na bunge kua sheria na ni sheria ambazo zina maslahi kwa serikali.

Hivi vikao vya chama vinavyoitwa kamati kuu, halmashauri kuu, ndio hao hao wapo serikalini na bungeni.
 
Ingetakiwa uanze kumkemea jiwe maana yeye ndiye aliyeleta haya yote, Mungu wenu kafa sasa ndiyo mnataka support yetu. Pambaneni na hali zenu
 
Ndugai kakosa hekima na kutanguliza makasiriko mbele na hofu pia.. Kasemwa kidogo kajiuzulu ANGEKOMAA[emoji23]

Kabisa angekomaa kuheshimisha bunge…sasa mambo si mambo..

Anyway kila linalotokea hupangwa na mwenye mbingu na nchi ili jambo lake litimie…

Ngoja tuone safari bado ni ndefu
 
Ngoja waje wazee wa MAMA ANAUPIGA MWINGI
NA INCHI IMERUDI KWA WENYEWE
HA HA TANZANIA INAKWENDA KUWA TANZAGIZA
 


Ndugai angerudishwa tu kiroho safi as if nothing happened…maana kiukweli hana kosa lolote…

Hatuna pesa za kupoteza kulipa mishahara maspika wawili at a per wakati mwingine anastaafishwa wakati uwezo wa kufanya kazi bado upo…
 
Achilia mbali waziri wa mambo ya ndani ambaye ni political figure. Jiwe alimpiga chini mkuu wa TISS nchini bwana Kipilimba.
Hivi TISS na wenyewe ni muhimili kama ilivyo bunge na mahakama? Huyo boss wa TISS si ni presidential appointee? Au mi ndio sielewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…