Rais Samia amevipa vijiji kipaumbele katika utekelezaji wa miradi ya umeme

Rais Samia amevipa vijiji kipaumbele katika utekelezaji wa miradi ya umeme

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Serikali ya Rais Samia Suluhu inatekeleza miradi mikubwa mitatu ya kupeleka umeme zaidi vijijini miradi ambayo itagusa sekta ya kilimo, afya, maji, viwanda vidogo na madini.

Fo_2GyBX0AAEmjg (1).jpg

Ukamilishaji wa miradi hii ni December mwaka huu
 
Inafurahisha kuona raisi akifanya yale ambayo kiongozi anatakiwa kufanya kwa anaowaongoza. That's great 👍
 
Inafurahisha kuona raisi akifanya yale ambayo kiongozi anatakiwa kufanya kwa anaowaongoza. That's great 👍
Kweli kabisa Rais Samia Suluhu ana kila sifa ya kuwa kiongozi bora maana anajali zaidi maendeleo ya wananchi wake
 
Back
Top Bottom