Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa Rais Samia Suluhu ana kila sifa ya kuwa kiongozi bora maana anajali zaidi maendeleo ya wananchi wakeInafurahisha kuona raisi akifanya yale ambayo kiongozi anatakiwa kufanya kwa anaowaongoza. That's great 👍
Umeme ni ule wa 27000 au 330000Serikali ya Rais Samia Suluhu inatekeleza miradi mikubwa mitatu ya kupeleka umeme zaidi vijijini miradi ambayo itagusa sekta ya kilimo, afya, maji, viwanda vidogo na madini.
View attachment 2518384
Ukamilishaji wa miradi hii ni December mwaka huu