Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Uwepo wa h comment yako inaonyesha tayari una taarifa ya h shughuli ya rais 😂Hakuna anayefuatilia, Wote wanafuatilia kesi ya uongo ya Lissu
Huyu mpuuzi anapotezea watu time tu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua makao makuu ya benki ya ushirika Tanzania
View: https://www.youtube.com/watch?v=9c3a8yFwdSA
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza kuwa vyama vikuu vya ushirika vimeshanunua 51% ya share. Ameeleza kuwa benki hiyo inaanza na mtaji wa Bilioni 58 huku ikiwa na matawi manne ikiwemo makao makuu Dodoma, tawi lingine lipo Tandahimba, Kilimanjaro na Tawi la nne lipo Tabora. Aidha matawi hayo yatatumia majengo ya serikali ili kupunguza gharama.
Kwani Lissu ameshafikishwa mahakamani kusikiliza ile kesi yake ya mchongo ya uhaini, au mambo ya kitoto bado yanaendelea?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua makao makuu ya benki ya ushirika Tanzania
View: https://www.youtube.com/watch?v=9c3a8yFwdSA
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza kuwa vyama vikuu vya ushirika vimeshanunua 51% ya share. Ameeleza kuwa benki hiyo inaanza na mtaji wa Bilioni 58 huku ikiwa na matawi manne ikiwemo makao makuu Dodoma, tawi lingine lipo Tandahimba, Kilimanjaro na Tawi la nne lipo Tabora. Aidha matawi hayo yatatumia majengo ya serikali ili kupunguza gharama.
Kuzindua tu. Viongozi afrika hawana kaziRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua makao makuu ya benki ya ushirika Tanzania
View: https://www.youtube.com/watch?v=9c3a8yFwdSA
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza kuwa vyama vikuu vya ushirika vimeshanunua 51% ya share. Ameeleza kuwa benki hiyo inaanza na mtaji wa Bilioni 58 huku ikiwa na matawi manne ikiwemo makao makuu Dodoma, tawi lingine lipo Tandahimba, Kilimanjaro na Tawi la nne lipo Tabora. Aidha matawi hayo yatatumia majengo ya serikali ili kupunguza gharama.
mimi nafuatiliaHakuna anayefuatilia, Wote wanafuatilia kesi ya uongo ya Lissu
hahahaaaa yaani ukiwa muongo uwe na akili kuliko wewe unakuwa muongo na akili huna kama hufuatilii umejuwaje kama hafuatiliwi? inamaana umefuatilia ukajuw ahafuatiiwi kwahiyo wewe ndiyo unamfuatilia kwa karibu sanaHakuna anayefuatilia, Wote wanafuatilia kesi ya uongo ya Lissu
Hiyo Benki itakufa kibudu Kama ilivyokufa Benki ya Nyumba (THB).Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua makao makuu ya benki ya ushirika Tanzania
View: https://www.youtube.com/watch?v=9c3a8yFwdSA
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza kuwa vyama vikuu vya ushirika vimeshanunua 51% ya share. Ameeleza kuwa benki hiyo inaanza na mtaji wa Bilioni 58 huku ikiwa na matawi manne ikiwemo makao makuu Dodoma, tawi lingine lipo Tandahimba, Kilimanjaro na Tawi la nne lipo Tabora. Aidha matawi hayo yatatumia majengo ya serikali ili kupunguza gharama.
kwamba ni suala la muda tu?Hiyo Benki itakufa kibudu Kama ilivyokufa Benki ya Nyumba (THB).