Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
130
Reaction score
368
Rais Samia ameandika kupitia X

Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika.

Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro.

Ikumbukwe, Rais Samia anatarajiwa kuanza Ziara ya siku 5 Mkoani Morogoro kuanzia Agosti 2, 2024.
1000047911.jpg

View attachment 3058977
View attachment 3058978
Kijana yuko vzr sana kajitahidi kaonyesha uwezo,mama atampa dili la kutangaza vivutio😂
 
Msinikumbushe ufunguzi wa MWENDO KASI. Niliamini kabisa kuwa muarubaini wa usafiri Dar umepatikana. Leo hii kila Mkazi wa Dar haelewi tumerogwa wapi? Siamini siamini siamini, hakika mpaka leo sina Jibu.
Oyaaa! Usinigusie ya kivuko cha Kigamboni. Haya, here we are.... Alamsik!
 
Warepost pia kasoro na kuzifanyia kazi sio kupokea sifa tu.
 
Msinikumbushe ufunguzi wa MWENDO KASI. Niliamini kabisa kuwa muarubaini wa usafiri Dar umepatikana. Leo hii kila Mkazi wa Dar haelewi tumerogwa wapi? Siamini siamini siamini, hakika mpaka leo sina Jibu.
Oyaaa! Usinigusie ya kivuko cha Kigamboni. Haya, here we are.... Alamsik!
Ulifunguliwa mbwembwe nyingi
Mapicha picha na video
Mara chaliiii

Ova
 
Back
Top Bottom