Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

ivi kwa kipindi ichi walichobeba abiliria pesa waliopata inaweza jenga kilometa ngapi
 
Yenu na mmeo au...haujui kwamba hizo ni kodi za watz wote!?.

Tena haya machawa wengi ni watu duni ambao hawana mchango wa maana kwenye kodi tunazolipa.

Tukisema SGR kika abiria aende na karatasi zinazoonesha kodi ambazo mtu amelipa kwatika kipindi cha miezi, na ambaye kodi yake ni chini ya milioni 2, asiruhusiwe kupana, nina hakika, hakuna chawa atakayepanda SGR.
 
Back
Top Bottom