Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Ole wao nyumbu wapande kwenye SGR yeyenu
Mbwembwe nyingi wanaanza naye,usimamiz sasaKama usimamizi ukiwa mbovu, sgr itageuka White Elephant
Kwani shida,mradi usimamiwe tuOle wao nyumbu wapande kwenye SGR yetu
Kijana yuko vzr sana kajitahidi kaonyesha uwezo,mama atampa dili la kutangaza vivutio😂Rais Samia ameandika kupitia X
Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika.
Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro.
Ikumbukwe, Rais Samia anatarajiwa kuanza Ziara ya siku 5 Mkoani Morogoro kuanzia Agosti 2, 2024.
View attachment 3058977
View attachment 3058978
mkuu tz wananchi tunaishi kwa kudra watawala ndio wanakula maishaEh!, imekuwa Mungu akipenda tena?
Yawezekana si mtanzania may be nchi jirani naona wapo kimchongo😀Kwani huyu jamaa ni nan? Badru!
Ulifunguliwa mbwembwe nyingiMsinikumbushe ufunguzi wa MWENDO KASI. Niliamini kabisa kuwa muarubaini wa usafiri Dar umepatikana. Leo hii kila Mkazi wa Dar haelewi tumerogwa wapi? Siamini siamini siamini, hakika mpaka leo sina Jibu.
Oyaaa! Usinigusie ya kivuko cha Kigamboni. Haya, here we are.... Alamsik!
Bundi ft Ngedere hii collabo yao itaiua sgr.Mbwembwe nyingi wanaanza naye,usimamiz sasa
Ova
Nipo tayari kwenda jela, lakini sipo tayari kuona hilo linatokea!Ole wao nyumbu wapande kwenye SGR yetu
Waislam sharti waseme hivyo kwa yajayoEh!, imekuwa Mungu akipenda tena?