Tena haya machawa wengi ni watu duni ambao hawana mchango wa maana kwenye kodi tunazolipa.
Tukisema SGR kika abiria aende na karatasi zinazoonesha kodi ambazo mtu amelipa kwatika kipindi cha miezi, na ambaye kodi yake ni chini ya milioni 2, asiruhusiwe kupana, nina hakika, hakuna chawa atakayepanda SGR.