Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

Kuna kipindi mtu unajikuta unatamani wabaya wasingekufa. Japo walifanyia watu unyama. Na ukatamani wazuri nao wafe hata kesho.
 
CONFIRMED!

Sasa Nchi kuendelea kuwa gizani kwa miezi sita inayokuja😀.


Nchi ngumu hii🤔
 
He will benefit from the expected upcoming rains. Ni solution ya muda mfupi. Hakuna jipya. Ni siasa tu.
 
Kitakachofanyika hapo ni kuendeleza tu mianya ya upigaji. Binafsi sitegemei maajabu yoyote yale kutoka watu wabinafsi na wasio na chembe ya uzalendo kwa nchi.
 
Si asepe yy TU KIZIMKAZI.kazi ni kuzurula uku TAIFA halina umeme
 
Daah kigamboni masaa yanaelekea 24 sasa hatuna umeme
Daaah mtihani sana
 
Back
Top Bottom