Kuna makabila ubini haufanani sijui kwaniniKaka yake haitwi Majaliwa au Kassim?
Pole kwa msiba
Wanaitiwa kwa wajomba hao,matrineal societies.Kuna makabila ubini haufanani sijui kwanini
Baadhi ya makabila ya kusini ubini unakuwa kwa mama na wajomba. Hivyo kama baba yao alikuwa na wake kadhaa, ubini wa watoto wa wamama tofauti unakuwa tofautiKuna makabila ubini haufanani sijui kwanini
Nadhani sio kabila tu, hawa watu wa system familia zao zinakuwaga na majina yasiyofanana.Kuna makabila ubini haufanani sijui kwanini
Umenena vizuriBaadhi ya makabila ya kusini ubini unakuwa kwa mama na wajomba. Hivyo kama baba yao alikuwa na wake kadhaa, ubini wa watoto wa wamama tofauti unakuwa tofauti
Poor comment,ina maana PM na kaka yake walijua watakuwa kwenye system kabla hawajazaliwaNadhani sio kabila tu, hawa watu wa system familia zao zinakuwaga na majina yasiyofanana.
Nina uncle wangu yupo ndani ya mfumo, ana watoto watano wote kila mtu ana jina lake la ubini. Hata yeye jina lake na ndugu zake akiwemo mama hayaendani japo ni watoto wa baba na mama mmoja. Yeye alianza akiwa na jina lake ila akabadili. Ni miongon mwa sababu pia kuna sababu nyingine.Poor comment,ina maana PM na kaka yake walijua watakuwa kwenye system kabla hawajazaliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023
Kweli mkuu, ukichunguza hata Paul Makonda na Mwigulu Nchemba utakuta kuna tofauti ya ubini wa majina na ndugu zao wa kuzaliwa.Kuna makabila ubini haufanani sijui kwanini