Rais Samia Ampa Pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Kufiwa na Kaka Yake

NI yeye tu aliamua maamuzi yake binafsi ila sio lazima
 
Kweli mkuu, ukichunguza hata Paul Makonda na Mwigulu Nchemba utakuta kuna tofauti ya ubini wa majina na ndugu zao wa kuzaliwa.
Nimesoma mdogo wa Mwigulu anaitwa...Shabani Mkumbo, za uhakika hawa jamaa walikuwa na asili ya kurudia darasa la 7 kwa kutumia majina ya wanafunzi waliokimbia shule.

Hao wote Nchemba na Makonda sio majina yao ya kuzaliwa
 
Mambo ya kizamani sana hayo
 
Kwa hiyo ndio mmesema mama anampanga plan za kumuondoa hapo kwenye kiti Cha uwaziri mkuu?
 
Pole sana Kassim, pole sana wanafamilia wote. Kwa mwanadamu, hakuna kipindi kigumu kama kufiwa na mtu wako wa karibu.

Basi Mungu wetu, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, awajalie moyo wa subira katika kuyapokea mapenzi ya Mungu.
 

Sio kweli, mbona akina mahiga majina yao hayakubadilika au akina Hassy Kitine etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…