PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna wagonjwa wapo huko mahospitalini pesa za matibabu hawana, na hizo pesa ni kodi zao walizochangia kipindi ni wazima, na pengine kwa kuwasaidia kupona watarudi kazini na kuendelea kuchangia mapato..
 
Apandae kwa ukarimu,Atavuna kwa ukarimu

Asanti Dr Samia Suluhu Hassan 🌹
 
'Wali nyama' vitani ni mtamu sana kuliko 'ugali maharage' wakati wa amani 😁😁.
 
Haya majimbo huendeshwa na waumini. Samia wala si muumini wala mtoa sadaka kwenye hilo jimbo.
Suala la Kitima halijaisha mmeanza kuzua mengine ya rushwa.
 
Upuuzi mtupu , pesa zilizojaa damu za watanganyika.

Wawe kama wale maaskofu wa Kenya waliorudisha pesa za Ruto.

Huyu bibi hauziki kwa sasa hivyo anajaribu kujipenyeza na machawa wake kwenye kila tukio asisikike.

Hapa huwezi kusikia kunguni ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2 Lucas Mwashambwa wakisema mambo ya utengano wa siasa na dini.

Huyo askofu kama alipata gari basi hata pesa ya mafuta atakuwa nayo hizo sideshows za huyu mama kutoa pesa ambazo hata hajaombwa ni nini kama sio kiherehere na kutoa focus ya matukio ya kuvamia watu kwenye makazi yao.

Justice for Kitima.

Justice for Mdude.

No reforms no election.

 
Hiyo siyo sadaka na ameitoa na moyo wake ukimshuhudia hivyo

Anamoja kichwani, niwaombe viongozi wa Dini, pesa kuleni huku mkiwapopoa tu wanaposhindwa kusimamia haki
 
Serekali inashikilia 76.4% ya madeni ya Nje
 
Hizo ni hela zake binafsi au?

Haipendezi kwa Rais kuwa anagawa gawa hela akiwa madarakani.

Kwanza hata hatujui kama ni hela zake binafsi au ni hela za walipa kodi.

Huyu Rais hata haelewi utengano wa serikali na mambo ya dini.

Empty headed.
 
Lipo fungu la kutoa hizo hela,ni ambazo magufuri aliwah nunua kuku kwa mil 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…