PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huna akili.
Wapi nimeropoka we kunguni.
 
imekuuma kichizi gentleman, right?🀣
 
Hata atoe bilion20..
Mwendo ni NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Ukiondoa mshahara ana marupurupu ya Million 60 kila mwezi

Hili swali usiulize tena
 
Anataka kutumia njia ya divide and rule kuwafanya Wakatoriki wasiwe wamoja wakati huu ambao Padri mwenzao amepata shambulio la kuumizwa

Ila najua sio rahisi hilo kutimia, maana wale jamaa wanafanya kazi Chini ya kiapo

Sio kama Chadema wamegawanywa hadi kuibuka kundi la G55 πŸ™Œ
 
Hao sio mashekhe ambao hata wakipewa tende wanakenua hata wakichomwa kidole Cha matako
 
Harakati za
 
Hakuna Padre aliyefeli F4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…