PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna Padre aliyefeli F4
Ndiyo uzuri wao

Kuna Mkutano mmoja wa bodi ya Wahandisi niliwahi kuhudhuria, nilikaa jirani na Sister mmoja wa Katoriki (Mtawa) alikuwa ni Mhandisi wa Umeme (Electrical Engineer)

Hao jamaa Shule imejaa Kichwani
 
Ananunua nini na haya mamilioni anayapata wapi?
 
Hivi fedha huwa zinatoka wapi? kwenye mshahara wake au kuna fungu analokuwa nalo kwenye budget yake na analitumia kuzigawa kama anavyopenda? Nielewesheniu bandugu...
 
Mdomo koma😷
 
20m kwa RC ni fedha kidogo sana.
 
Hivi fedha huwa zinatoka wapi? kwenye mshahara wake au kuna fungu analokuwa nalo kwenye budget yake na analitumia kuzigawa kama anavyopenda? Nielewesheniu bandugu...
Mfuko wa rais, inafikia karibu 1t na haina ukaguzi.
 
Maaskofu wanabadilisha vipande vya Rupia kwa damu ya Kondoo wao. Hii haikubaliki
 
Kwenye zahati hakuna dawa.
Kuna mama kapeleka mtoto chini ya miaka 5 zahanati ya Goba ya serikali akaandikiwa vipimo akafanye hospital binafsi, dawa akanunue pharmacy binafsi.
Hakupewa hata paracetamol (Panadol).
MSD sijui imefia wapi, Sasa hivi kama hakuna serikali vile. NHIF bima watoto chini ya miaka 5 wamefuta.
Walihojiwa kuhusu hili wakapiga siasa.
 
Maaskofu wanabadilisha vipande vya Rupia kwa damu ya Kondoo wao. Hii haikubaliki
Unafikiri watanyamaza?
Pesa wanayokusanya toka kwa waumini mfumo wa sadaka, zaka, na mavuno inawezekana ni kubwa kuliko kodi za serikali.
 
Isipok
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
ua za escrow
Huyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?
Isipokua kwa escrow wali mute kwa vipande vya noti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…