Rais Samia ampa ujumbe mzito makamu wa Rais amwambia asiwe kama samaki

Rais Samia ampa ujumbe mzito makamu wa Rais amwambia asiwe kama samaki

Ndagullachrles

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
256
Reaction score
259
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais uliyofanyika Ikulu, Chamwino - Dodoma leo Agosti 29, 2026.

Katika hafla hiyo Rais Samia
ameanza na kumpa pole Mheshimiwa Ndejembi Makamu wa Rais aliyeapishwa leo kwa kutushwa majukumu makubwa katika umri mdogo na bila kupewa ushauri.

Makamu wa Rais ana umri wa miaka 43 na ameweka historia nchini Tanzania kushika nafasi hiyo akiwa na umri mdogo ikilinganishwa na watangulizi wake akifuatiwa na Dkt. Ali Mohamed Shein aliyeingia madarakani kuwa Makamu wa Rais akiwa na umri wa miaka 53 na miezi 4 kisha akafuata Dkt Emmanuel John Nchimbi aliyeingia madarakani tarehe Novemba 3, 2025 akiwa na umri wa miaka 53 na miezi 10.

Rais Saimia pia amemuasa Makamu wake kutokuwa kama SAMAKI akimnukuu Mheshimiwa Karume; "msiwe kama samaki, kila mkikuwa akili inaharibika"

TAFAKARI...
 

Attachments

  • IMG-20260829-WA0259.jpg
    IMG-20260829-WA0259.jpg
    105.3 KB · Views: 9
  • IMG-20260829-WA0268.jpg
    IMG-20260829-WA0268.jpg
    338.4 KB · Views: 7
  • IMG-20260829-WA0256.jpg
    IMG-20260829-WA0256.jpg
    84.6 KB · Views: 12
  • IMG-20260829-WA0266.jpg
    IMG-20260829-WA0266.jpg
    372.1 KB · Views: 11
Back
Top Bottom