Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

Samia.jpg
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini
 
Unapandisha vyeo badala ya kuwashusha. Kwa siku za karibuni hawa polisi wamepata kashfa za kuuwa raia. Ref watu wa5 waliopea mikononi mwa polisi. Mauwaji ya mfanya biashara Mtwara. Na kuna taarifa inatrend huko Mwananchi online ya raia wengine wa3 kupotea wakiwa mikononi mwa polisi.

Vunja hili jeshi lapolisi liundwe upya, ndio tutakuelewa. Sio kupeana vyeo.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Saa 100 watu wake yeye ni waislamu na wazanzibari

Akiteua mgalatia jua ametumika kama bosheni kuficha udini na uzanzibari wake
 
Back
Top Bottom