Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Asilimia kubwa ya Askari Wa jeshi la polisi sio waadilifu wananyanyasa Sana raia Ila kwa huyo afande Hawadhi ni mchapakazi Na very humble guy anastahili hata kuwa IGP
Sirro kabla hajawa IGP unajua alikuaje?
 
Sijui nijuze
Very humble man,alipendwa mpk na wapinzani na hata majimbo ya Nyamagana na Ilemela Chadema waliyapata Sirro akiwa RPC baada ya kuiambia tume tangazeni matokeo haraka hatuna uwezo wa kuzuia hawa watu hapa halmashauri.

Baada ya kua IGP ndio akawa hivyo alivyo.So hata Nani achaguliwe kua IGP atafuata matakwa ya CCM/serikali atake asitake.

Imeisha hio.
 
Kumbukizi Tamu, asante sana mkuu
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Amepandishwa cheo na kuteuliwa kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Dalili mbaya, hao si wana wimbo wao wa taifa, bendera yao na hata rais ni kivyao
 
Ila tupunguze maneno. Huyu aliyeteuliwa ni Mzenji, na bahati imemdondokea kapata huo uteuzi. Je mlitaka mama amlete m-Bara akaongoze Polisi visiwani?
 
Infwakt huyu ndio atakua IGP kesho kutwa.
Ila waislamu naona wanaangaliwa kwa jicho la kipekee. Huyu Ni wa pili kufurushwa vyeo baada ya yule white
 
Back
Top Bottom