Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Kwani sio watanzania? Hizi zisitutenganishe
 
Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
hata mm nmejiuliza hilo swali huyu kafanya nini cha ajabu had arushwe vyeo vingi ivo? majuz tu mama mwenyew kawalalamikia kwa kupindisha sheria na uzurumat
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
The next IGP?
 
Mama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?

Nyie Wtanganyika mnatumia kipimo gani kupima hivi vitu?

Hivi mnaijua Hekima nyie?? Mnaijua Subira au Busara??? Polisi anatoa wapi hivi vitu??? Polisi?? hawa hawa wa Tanzania?? Hakuna hata mmoja
 
hata mm nmejiuliza hilo swali huyu kafanya nini cha ajabu had arushwe vyeo vingi ivo? majuz tu mama mwenyew kawalalamikia kwa kupindisha sheria na uzurumat

Charles Mang'era Mbuge alikua Kanali Ndani ya miaka 3 akawa MEJA JENERALI, Naungana na Muhubiri 9;11

Mhubiri 9:11​

Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Acha ateuwe apendavyo... Nihaki yake hata akitaka nchi iwe ya ki islam nani wakumuuliza? Walio weka hiyo mifumo siwapo? Mm wacha nipambane na hali yangu...
 
Amepandishwa mara moja. Kingine ni uteuzi. These two things don’t mean the same thing!

Kwa hiyo hicho alicho teuliwa kinafanana na kile alichopandishwa?
Ukweli ni kwamba amepandishwa mara mbili
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174

JPM alteua Mohamed Haji Kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar
February 10, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.

Huyu aliekuwepo amestaafu au anakuja HQ kuwa kamishna kama mzee Musa Ali Musa?
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Nyie mlikua makatiri sana..msijifanye kusahau..tulieni saiv mpangwe...
 
Huyu bibi hadi 2025
Atajikuta amejaza wanawake, wazanzibar na waislam bila kujua..[emoji1787][emoji1787]
Waislam wapo poa wanataka watu wote wawe na furaha sio wagalatia wana roho mbaya wabinafsi udino na ukabira tawara zote za wakristo tunaishi kwenye nchi yetu kama digidigi
 
Mkuu kwani dini ni kigezo cha uteuzi? Pili, kwa Zanzibar tegemea asilimia kubwa ya wateule kuwa Waislamu.

Vv
Ni ujinga tu kutuaminisha kuwa Zanzibar hakuna Wakristo.waliosoma! Hata television ya zanzibar ZBC washaifanya kama msikiti! Zanzibar mkristo kupata teuzi kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom